Stori: Shakoor JongoMWANAMUZIKI wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’.
Mwanamuziki
wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi
tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’.“Dah! Huyu ni shemeji yangu tu nimekaa naye tukila bata, usinukuu chochote unachokiona kikifanyika hapa maana kitaniweka katika hali mbaya.”.
No comments:
Post a Comment