MENINA, MENINA, MENINA........
|
Menina |
Daah
sijui nianzie wapi? maana ni msanii unayekuja juu, kitu kinachoniuma
zaidi ni kwamba utaingia katika matatizo, kwani hujui?? nakuwasa mdogo
wangu kama ni kweli acha kwani hizo ni anga za wakubwa, umeona
kilichotokea kwa dada zako waliopita, sasa usitake kuchekwa na jamii,
ongeza bidii katika sanaa ili ufike pale ulipotaka kufika, mengine
waachie wenyewe, there is no smoke without fire....... usije ukasema hatukukwambia.
kwa wale
ambao mpo nje ya box ni kwamba Menina amepata tuhuma za kuwa mchepuko
wa msanii Diamond sasa kama wanajamii tunampa warning maana wale
wanajuana wenyewe asije akajiingiza katika matatizo huku akiwa na ndoto
za kutoboa katika music wa kizazi kipya......
we do the seeking n you do the judging
lisemwalo lipo kama halipo laja haya tusubirie movie imeishia wapi ama starring kafa, ama imezama ndani ya radio...... lolest
No comments:
Post a Comment