
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni kufuatia madai hayo, Batuli
alisema hajawahi kuwa na uhusiano wowote na bwana wa Rose (Malick) na
kwamba ukaribu wao ni wa kikazi tu.
“Jamani siwezi kutoka na mchumba wa Rose kutokana na kwamba ni mtu
ambaye namheshimu sana na tumekuwa tukifanya kazi na Rose bila matatizo
yoyote. Hizi taarifa zinanishangaza na najua wanaozieneza hawanitakii
mema,” alisema Batuli.
No comments:
Post a Comment