Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya
Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar
es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni
sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa
magari katika jiji la Dar es Salaam.
Wananchi
wakifurahia hotuba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi
rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda
ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya
Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa
kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara
ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar
es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni
sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa
magari katika jiji la Dar es Salaam.
Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa tayari tayari
kumrekodi Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi wa barabara ya
Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es
salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni
sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa
magari katika jiji la Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada
wakifungua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya
Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es
salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni
sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa
magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe
Halima Mdee na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Ndg Ramadhani
Madabida
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada
wakifurahia baada ya kufungua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa
barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe
jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km
12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza
msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa
Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe,
Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es
salaam Ndg Ramadhani Madabida
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada
wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta
leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam.
Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya
mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika
jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima
Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine
Sehemu
ya barabara ya Mwenge-Tegeta yenye urefu wa Km 12.9, ambayo ni sehemu
ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari
katika jiji la Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada
wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta
leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam.
Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya
mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika
jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima
Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada
baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo
la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa
barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya
Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam.
Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Mbunge
wa Kawe Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine.
No comments:
Post a Comment