Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga.
Akipiga stori na Ijumaa Lungi amesema anajua kuwa wapo wanawake ambao
wakiamua kutembea na waume za watu hawashindwi lakini akasema, kwa
bwana wake aliyezaa naye akigundua kuna anayemnyemelea, atakufa naye.“Nawataha-dharisha tu wasije kuthubutu kutoka na mwanaume ambaye ananipa jeuri hapa mjini kwani nitawafanyia kitu mbaya. Wanaonijua wananielewa na wanaujua moto wangu ninapoingiliwa kwenye anga zangu,” alisema Lungi.
No comments:
Post a Comment