Ikiwa ni wiki ya rappa Nicki Minaj, ameonekana kwenye vituo vya tv na
kusikika kwenye radio, ameonekana kwenye majarida makubwa na interview
za aina tofauti mpaka fashion yote haya akitangaza album yake mpya Pink
Print.
Sasa Nicki Minaj amechaguliwa kuwa sura mpya ya Mbunifu wa mavazi Roberto Cavalli.
No comments:
Post a Comment