Imekuwa ni wiki ya rappa Nicki Minaj ambaye ameweza kushika vichwa
vya habari akitangaza album yake mpya ‘The Pink Print’ .Wiki hii Minaj
ameng’ara kwenye kurasa ya mbele ya jarida la Rolling Stone toleo la
January 2015 na wanasema mpaka sasa hili ndio cover lenye mvuto zaidi
alilowahi kutokea Nicki Minaj.
Kwenye chati kubwa za dunia za album, Nicki Minaj amefanikiwa kushika
na 2 kwenye wiki ya kwanza ya kutoka kwa album yake ya Pink Print
ikikadiriwa kuuza kopi 150,000 na mpaka sasa imeuza kopi 244,000 .
No comments:
Post a Comment