EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, December 22, 2014

WEMA KORTINI TENA!

Mkono wa sheria! Achana na drama zake na aliyekuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mcheza sinema ‘grade one’ Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anapandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar kujibu kesi ya kushambuliwa vijana wawili, Rashid Balazi na Juma Bushiri, wakazi wa jijini Dar, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
HAYUKO PEKE YAKE
Katika kujibu kesi hiyo, Madam Wema hatakuwa peke yake kwani mpambe wake, Petit Man naye anahusika katika kesi hiyo kwa kuwa ndiye mshtakiwa wa kwanza.

KESI YENYEWE NI IPI?
Hivi karibuni kabla Madam Wema hajasafiri kwenda nchini Ghana kufanya kazi na staa wa huko, Van Vicker, Petit Man alidaiwa kuhusika kuandaa mchezo mchafu wa kuwateka na kuwashushia kipigo cha mbwa mwitu Rashid na Juma, tukio ambalo lilichukua nafasi nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar.
Ilidaiwa kwamba, Petit Man alipoteza simu na kuwahisi vijana hao ambao mmoja wao alikuwa ni fundi bomba, ambaye alikuwa akitengeneza bomba nyumbani hapo.
Mmoja wa vijana walioshambuliwa kwa kipigo nyumbani kwa wema.
WALIVYOWA-TEMBEZEA KICHAPO
Baada ya kuwabana vijana hao na kutotoshelezwa na majibu yao, ilidaiwa kwamba Petit Man, kwa kushirikiana na Wema waliwaita vijana wa kihuni ‘mbwa mwitu’ na kuwafungia nyumbani kwa Wema kisha kuwapa kipondo ‘hevi’ ili watoe simu hiyo lakini hadi dakika za mwisho walikataa kuwa hawakuchukua.
WASHITAKI MABATINI
Ilifahamika kwamba walipoachiwa baada ya kusulubiwa, vijana hao, wakiwa na majeraha, walikimbilia Kituo cha Polisi cha Kijitonyama almaarufu Mabatini na kufungua jalada la kesi namba KJN/RB/11250/2014 na KJN/RB/11220/2014 SHAMBULIO
LA KUDHURU MWILI.
Hata hivyo Wema na Petit walikamatwa na kuachiwa kwa dhamana kisha walisafiri nje ya nchi.
Petit Man.
KESI KUUNGURUMA LEO
Kwa mujibu wa chanzo chetu ndani ya mahakama hiyo, Wema na Petit Man watakuwa kizimbani asubuhi ya leo, kujibu mashtaka yanayowakabili ya kuwasulubu kwa kipigo cha mbwa mwizi vijana hao wawili.
“Wema na Petit Man watapandishwa kizimbani Jumatatu (leo), kesi imewakalia vibaya, kifungo njenje katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni tayari kwa kujibu kesi ya shambulio la kudhuru mwili kwa mujibu wa shitaka lililofunguliwa kituoni hapo.
“Kimsingi Wema kaponzwa na huyo Petit Man na ukizingatia tukio lenyewe lilifanyika nyumbani kwake.
“Hapo kesi ya Wema itakuwa ni kuthibitisha kama kweli tukio lilitokea nyumbani kwake siku hiyo na kwa nini aliamua kuruhusu ukiukwaji wa sheria kutokea nyumbani hapo wakati yeye kama mkuu wa familia alikuwepo na hakutoa taarifa ya aina yoyote kwenye mamlaka ya juu ya serikali,” kilidai  chanzo chetu.
Hata hivyo, habari zilizolifikia gazeti hili wakati linakwenda mitamboni zilieleza kuwa bado Wema na Petit Man walikuwa hawajatua Bongo.
Siyo mara ya kwanza kwa Wema kufikishwa mahakamani kwani aliwahi kushtakiwa kwa kesi ya kumpiga mtu na ile ya kuvunja vioo vya gari la aliyekuwa msanii wa filamu, marehemu  Steven Kanumba.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate