EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Sunday, January 18, 2015

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd mara baada ya kupokelewa katika Ofisi kuu ya CCM mkoa wa Mjini Magharibi  wilaya ya Dimani Zanzibar akiwa katika ziara ya kikazi ya siku 15 katika visiwa vya Unguja na Pemba, Katibu Mkuu Kinana anaongozana na Nape Nauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wakikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 ikiwa ni pamoja na kuhimiza uhai wa chama, Katika mkutano wa ndani akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Dimani Kinana amesema katika mambo muhimu ambayo kamati za siasa zinatakiwa kuzingatia wakati wa kuteua wagombea mbalimbali ni Maadili ya viongozi, Ameongeza kwamba kama kuna kamati ya siasa itakiuka utaratibu huo na ikaonekana kubeba baadhi ya wagombea basi Kamati Kuu  haitasitakufuata utaratibu wa kikatiba na  kuteua kamati ya siasa nyingine ili kuhakikisha haki inatendeka kwa wagombea wote walioomba uongozi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DIMANI-MKOA WA MJINI MAGHARIBI -ZANZIBAR)
 Nape Nauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiongozana na Vuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu Zanzibar mara baada ya kuwasili ofisi kuu ya CCM Kiembesamaki mkoa wa Mjini Magharibi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wajumbe mbalimbali na wa wana CCM wakati alipowasili wilaya ya Kiembesamaki wilaya ya Dimani mkoa wa Mjini Magharibi leo.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Mohamed Yusuf akimkaribisha Ndugu Abdulrahman Kinana ili kuongea na wajumbe wa halmashauri ya wilaya ya Dimani.
  Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, kulia Vuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na kushoto ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Khadija Abood wakiwa katika mkutano huo.
 Mjumbe wa Kamati kuu wa CCM Mh. Balozi Seif Ali Idd akizungumza katika mkutano huo wa ndani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe hao hawapo pichani.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Kirtkumar Dave Meneja wa Kiwanda cha maziwa cha Azam kilichopo Fumba Unguja wakati alipotembelea kiwanda hicho na kukagua shughuliza uzalishaji kiwandani hapo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya Meneja wa kiwanda cha maziwa cha Azam Bw.Kirtkumar Dave

 SEhemu ya mitambo ya uzalishaji wa kiwanda hicho
 Meneja wa kiwanda hicho Kirtimar Kumar akimueleza jambo Katibu Mkuu wa CCM kuhusu uzalishaji wa kiwanda hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya maziwa yaliyozalishwa kiwandani hapo.

 Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akishiriki kupatkia katoni za maziwa kwenye kiwanda hicho.
 Meneja wa kiwanda hicho Kirtimar Kumar akimzawadia  katoni ya maziwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.akipokelewa na Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM wakati alipotembelea chuo Sayansi ya Bahari Shakani
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. akizungumza na baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kusafisha eneo la chuo hicho kinachoendelea kupanuliwa , kulia ni Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM na kushoto ni Ndugu Vuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua majengo ya chuo hicho huku akiongozwa na Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM katikati ni Desiderius Masalu Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiondoka chuoni hao.
 Msafara wa Katibu Mkuu ukikatiza katika msitu.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanda mikoko huko Fumba kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Mohamed Yusuf.
 Hapa akishiriki zoezi la uhifadhi wa Kaa
 Akizindua Gari la wagonjwa Ambulance
 Wananchi na wana CCM wakinyanyua mikono yao juu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magereza..
 Balozi Ali Karume akiwahutubia wananchi katika mkutano huo
 Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo kwenye viwanja vya  Magereza.
 Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Magereza Zanzibar
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwaongoza wana CCM wapya kula kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi zao zauanachama

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate