EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, January 22, 2015

MREMBO: NIMESALI BILA NGUO FREEMASON

Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani/Amani
INATOSHA! Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27), ameibuka na kudai kuwa amekuwa akisali bila nguo kwenye ibada ya imani ya Freemason inayosifika kwa ushirikina.
Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27) anayedai kushiriki imani ya kifreemason.
Katika mahojiano yaliyofanyika hivi karibuni ndani ya chumba cha habari, makao makuu ya gazeti hili Bamaga, Mwenge jijini Dar, Happiness alisema kuwa, alianza kuingia kwenye imani hiyo kwa kwa kupitia kaka yake mmoja (jina tunalo) ambaye ni tajiri wa kupindukia kutokana na kuwa mshiriki wa Freemason.
“Nilipojiunga ilikuwa si kwa matakwa yangu, kwani nilianza kwa kupata matatizo ya kuumwa magonjwa ya ajabuajabu, ikiwemo kutokwa na wadudu usoni kiasi cha kunitoa vidonda,” alisema mrembo huyo huku akionesha makovu ya vidonda hivyo.

“Hali ilipokuwa mbaya, ilibidi niende kwa mganga mmoja wa kienyeji ambaye aliniambia nimetupiwa majini ya kunuka ambayo yanabadilika harufu kila mara, lakini alitaka nimlipe shilingi milioni 5 ili anitibie, nikashindwa, nikaondoka.
“Kuna wakati vile vidonda vilisababisha nianze kufuatwa na nzi wengi hadi watu wengine wakawa wanadai kusikia harufu, ndipo nikaenda kwenye Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Arusha  kwa Mchungaji Olduvic kuombewa ndipo nzi wakatoweka na harufu kupungua,” alisema.
Moja ya alama za imani ya kifreemason.
Alisema baadaye alijikuta akiwa muumini mkubwa wa Freemason lakini si kwa hiari yake. Akaongeza kuwa, alipewa uwezo wa kusafiri mbali ya Tanzania kwa usiku mmoja na kukutana na wazungu ambao anaamini wana uwezo mkubwa wa mambo ya kiroho kuliko walokole wa siku hizi.
“Hali hiyo ilifika mahali mpaka nikaanza kushirikishwa ibada zao kwa kusali bila nguo. Tulikuwa tunakwenda kwenye hekalu la ibada tukiwa tumevaa lakini tukifika ndani tunavua nguo na kubaki kama tulivyozaliwa na kuanza kusali. Hekalu hilo lipo hapahapa Dar es Salaam, lakini naomba nisiseme lilipo.
“Jambo kubwa ambalo nataka kulisema kwa leo, si kwamba nimeachana nao, bado nipo. Ila nimejikuta nikiwa sina amani kwa kuficha habari hizi.“Ninachojua hata hapa ninapozungumza na nyinyi wanajua kila kitu, kwani wananifuatilia bado kwa sababu walishanipa fedha kwa ajili ya mtaji wa biashara, lakini kusema ukweli sina amani,” alisema Happiness na kuanza kulia.
Alimalizia kwa kuweka wazi kwamba, kwa wale wanaotafuta utajiri kwa kupitia imani ya Freemason, anawashauri kuachana na akili hiyo kwani utajiri wao unakuwa na masharti mengi ikiwemo kuua ndugu wakiwemo wazazi.Mrembo huyo ataanza kusimulia hatua kwa hatua ya namna alivyokutana na Freemason mpaka alipo sasa. Soma gazeti hili wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate