STAA
wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa
amejifungua na kusema kuwa anawaona kama wametumwa na mapepo wabaya.
“ Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli. Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.
Staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Akizungumza na Centre Spread, Aunty alisema anawashangaa
wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba
hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.“ Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli. Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.
No comments:
Post a Comment