Stori: Imelda Mtema/Mchanganyiko
KIMENUKA! Beautiful
Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa
Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo
cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini
‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga, Risasi Mchanganyiko linakupa
mchapo kamili.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Wema na staa wa Bongo Fleva, Omari
Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ walikwenda Sauz kurekodi video ya wimbo wa msanii
huyo ambao jina lake bado halijafahamika mara moja ndipo baadae picha ya
Ivan, Wema na King Lawrence ilipovuja na kuzua gumzo.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu
kilichokuwa Sauz, baada ya Wema na Ommy kutua nchini humo na ‘project’
hiyo ya video, King Lawrance alidaiwa kuandaa mpango kabambe wa
kuhakikisha kwa namna yoyote wanaonana na Wema kisha kupiga naye picha
ambayo akiivujisha mtandaoni kila mtu ataamini wamefanya malipizi kwa
zilipendwa wa Wema, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye amemnyakua Zari, mke
wa Ivan.
“Ilikuwa ni mpango wa malipizi, King na
Ivan walikuwa wanaumia moyoni kumuona Diamond anatoka na Zari wakati wao
wana fedha kuliko Diamond hivyo waliposikia mtoto wa kike (Wema) yupo
Sauz wakasema watadili naye hadi kieleweke, iwe ni kwa kufanikisha zoezi
la kutoka naye kimapenzi au hata kupiga picha ambazo zikisambaa
mitandaoni, watu watajua kwamba wamefanya malipizi,” kilisema chanzo
chetu.
King Lauwrance (kushoto) akipozi na Ivan( aliyekuwa mume wa Zari).
KING AFANIKIWA KUIVUJISHA
Chanzo hicho kilizidi
kumwaga ubuyu kuwa, baada ya kufanya project, Ommy na Wema usiku
walikwenda katika moja ya klabu kula bata ndipo King na Ivan walipozama
na kufanikiwa kupata picha na Wema wakiwa katika kochi moja kisha
akaitupia katika mtandao wa Istagram.
“Wema aliwachukulia kama washkaji, hakujua jamaa walikuwa na lao
kichwani, walipofanikiwa kupata picha tu, wakaitupia mtandaoni fasta na
kufanya Wema atukanwe na watu,” kilisema chanzo hicho.
WEMA ACHARUKA
Baada ya
picha za Wema na Ivan kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii,
mwandishi wetu alimtafuta Wema kwa njia ya simu ambapo alimcharukia King
kwa matusi mazito ambayo kimaadili hayandikiki gazetini hata mtandaoni.
Zarina Hassan ‘Zari’ akipozi.
“Yule ni...(tusi) ameniboa kweli...(tusi) unajua vitu vingine vya
kipuuzi kabisa, wanatafuta kiki zisizokuwa za msingi wa...(tusi)”
alisema Wema.Wema alisisitiza kuwa hataki kumzungumzia sana King kwani
anaamini akifanya hivyo atamuongezea umaarufu ambao amekuwa akiutafuta
muda mrefu.
King Lawrence amekuwa akimtusi Diamond mara kwa mara kwenye mitandao
ya kijamii huku akionesha jeuri ya fedha kwa kile kinachoonekana kuumia
kwake roho kwa kijana wa Tandale kumchukua shemeji yake Zari, aliyezaa
na Ivan watoto watatu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe
No comments:
Post a Comment