MUIGIZAJI wa filamu,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa na wafuasi wengi kwenye Instagram,
ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu
kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.

Msanii mkongwe wa filamu, William Mtitu amefunguka na kuwataka watu kuacha kumshambulia Lulu kwa kitu ambacho hahusiki nacho.
No comments:
Post a Comment