EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, May 20, 2015

AUNT‭, ‬WEMA HONGERENI KWA KUPATANA‭! ‬HAMKUWA NA HOJA

 
KWENU mashosti wa miaka‭ ‬‮!‬٪chungu mbovu‭,‬‮!&‬waigizaji Aunt Ezekiel na Wema Sepetu‭ ‬‮!‬٪Madam‭.‬‮!&‬Vipi mko poa‭? ‬Mambo yanakwendaje lakini‭?‬
Salamu sana ama baada ya salamu‭, ‬mimi ni mzima wa afya‭. ‬Namshukuru Mungu‭. ‬Naendelea na michakato yangu ya kila siku si mnajua tena mjini mipango‭, ‬tutalala uzeeni‭!‬
Madhumuni ya barua hii ni kutaka kuwapongeza kwani sikufurahishwa na ugomvi wenu uliokuwa umefika pabaya‭.‬
 

Sikufurahishwa kwa sababu sikuona hoja ya msingi ambayo iliwafanya nyinyi mfikie hatua ya kutoleana maneno mazito utadhani hamkuwahi kuwa marafiki wakubwa‭.‬
Hivi hoja ile tu ya Aunt kudaiwa kuipigia promo shoo ya Diamond ambaye kwa sasa haziivi na Wema ndiyo ilisababisha mtoleane kauli nzito kiasi kile‭? ‬Mlifikia hatua ya kusema hamzikani‭, ‬kweli kabisa‭? ‬Inasikitisha‭.‬

Chanzo cha ugomvi wenu kilikuwa dhaifu‭. ‬Kwanza taarifa nilizonazo‭, ‬Aunt mwenyewe hakuipigia promo shoo hiyo kwa hiari yake bali‭ ‬mtandao ndiyo ulitumia jina lake pasipo kuwa na ridhaa yake‭. ‬Nyinyi hata hakuwaza kwa umakini‭, ‬mkajazwa maneno na wapambe‭, ‬mkagombana‭.‬


Hata hivyo‭, ‬hata kama ingekuwa ameposti kwa ridhaa yake‭, ‬tatizo liko wapi‭? ‬Kwani ugomvi wa Wema na Diamond unamhusu nini Aunt‭? ‬Hata kama unamhusu‭, ‬huoni huyo Diamond anayemchumkia Wema‭, ‬mfanyakazi wake‭, ‬Moze Iyobo ni mpenzi wa Aunt‭, ‬je hakuwa na sababu ya‭ ‬kumuunga mkono bosi wa mpenzi wake ili apate fedha nyingi amlipe vizuri Iyobo‭?‬
Ndugu zangu‭, ‬hata iweje‭, ‬mtu huwezi kuwazuia maadui wako wote wasiongee na rafiki yako‭. ‬Kuna baadhi ya vitu vinawaunganisha maadui zako na rafiki yako na vinaweza kuwa ni vya muhimu‭, ‬huwezi kuvizuia hata siku moja‭.‬
 

Mfano mdogo ni huo‭, ‬Moze aliye chini ya Diamond ndiye baba mtarajiwa wa mtoto wa Aunt‭.
‬Kwa vyovyote vile‭, ‬kuna wakati lazima Aunt atajikuta amekutana na Iyobo akiwa na Diamond‭. ‬Hawezi kuacha kumsalimia‭. ‬Hawezi kumuwekea bifu Diamond halafu akabaki salama na Iyobo ambaye ni muajiriwa wa Diamond‭.‬
 

Yote kwa yote bado niwasisitizie tu‭, ‬chanzo cha ugomvi wenu hakikuwa na mashiko‭, ‬mlinisababisha hadi nifikirie kwamba huenda kuna kitu kilikuwa kimejificha nyuma ya pazia‭.‬
Kabla hamjapatana‭, ‬akili yangu ilifika mbali kimawazo hadi nikasema isije ikawa ni yale yaliyotokea kwa Kajala Masanja na Wema ya kukwapuliana bwana au mengine yanayofanana na hayo‭. ‬Mungu awaepushie yasitokee‭.‬
 

Niwashauri kama kaka yenu kwa uzito wa kushibana mliokuwa nao hampaswi kuwa mnagombana bila sababu za msingi‭. ‬Mabifu hayana maana‭. ‬Ni matumaini yangu kupatana kwenu ni jambo jema kama walilofanya Ally Chocky na Asha Baraka‭.‬
Warembo kama nyinyi mnapendeza mkikaa pamoja‭, ‬mkijenga tasnia ya filamu pamoja‭.‬
Hakuna sababu ya kugombana hadi ugomvi wenu kuwafikia wazazi‭, ‬si busara hata kidogo‭.‬
Bila shaka mtakuwa mmenielewa‭. ‬Nawatakia ushosti mwema‭.‬
Mimi ni swahiba wenu‭,‬
‭.........‬
Erick Evarist

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate