Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni
08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.Picha zote na John Badi.
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe (wa pili kushoto) na mkewe Dorcas (kushoto) wakifuatilia
kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa
Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 300.
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe (kushoto) akifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za
kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu
ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni
08.2015, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.
Sehemu ya
umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi,
waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa ajili ya
kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 300.
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) wa Mtwara, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini Juni
08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500. Picha zote na John Badi
Katibu wa
CCM Mtwara mjini, Modesta Mwaya akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
(kulia), fomu zilizotiwa saini na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
wa Mtwara mjini, waliofika kwenye Ofisi hizo Juni 08.2015, kwa ajili ya
kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa
tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500.
Sehemu ya
umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara, waliofika
kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini
fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500.
No comments:
Post a Comment