Msanii wa filamu Bongo, Esta Kiama.
MSANII wa filamu Bongo, Esta Kiama amesema kuwa yupo mbioni kubadili dini yake ya Kikristo na kwenda kwenye Uislam kwa kile anachodai kuwa amejisikia tu.
Akichezesha taya na Amani, Esta alisema kuwa ameamua kubadilisha dini kwa matakwa yake mwenyewe na siyo kwa kulazimishwa na mtu yeyote.
“Muda wowote kuanzia sasa nitabadilisha dini kwa kuwa nimeamua na wala si kwa ajili ya kumfuata mtu yeyote maana najua wazi kabisa kuna watu wengine wanajua kutabiri vitu kuliko mimi mwenyewe nitakachokieleza,” alisema Esta.
No comments:
Post a Comment