Stori: Musa Mateja
MWANAMUZIKI Naseeb Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ (pichani) amejikuta
aking’ang’aniwa kiaina na polisi baada ya kumbamba akiendesha mkoko wake
mpya ambao haujasajiliwa.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa
Wikienda, lilijiri Ijumaa iliyopita Juni 22, mwaka huu maeneo ya Bamaga
jijini Dar ambapo Diamond aliangukia mikononi mwa maafande hao ambao
walimbananisha kwa kosa la kuendesha gari lake jipya ambalo
halijasajiliwa, aina ya Toyota Land Cruiser Prado.
Akizungumzia nasi, Diamond alisema alipowaonesha kadi halali na vibali vingine vya (TRA) walimwachia na kumtaka akaweke namba halali.
Akizungumzia nasi, Diamond alisema alipowaonesha kadi halali na vibali vingine vya (TRA) walimwachia na kumtaka akaweke namba halali.
No comments:
Post a Comment