EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Friday, June 8, 2012

MASHINDANO YA MISS UTALII TANZANIA YAGAWANYWA KIKANDA

Bodi ya Taifa ya Mashindano ya Miss Utalii Tanzania, katika kutekelezaa mpango mkakati wake wa kuimarlisha na kuboresha zaidi mashindano hayo, imegawanya mikoa yote ya Tanzania na Vyuo Vikuu katika kanda maalumu za mashindano hayo.
Kwa lengo la kuimalisha utekelezaji wa malengo ya mashindano na usimamizi , Kuanzia mwaka huu kutakuwa na jumla ya kanda 14 za mashindano ya Miss Utalii Tanzania , zikiwemo saba (7) za kawaida na saba (7) kanda maalumu za Miss Utalii vyuo Vikuu. Hatua inalenga pia kufikisha mashindano ya Miss Utalii

Tanzania hatika Ngazi za chini zaidi , mijini na vijijini, ambapo kwa kuanzia mashindano haya sasa yataanzia katika Ngazi za kata, Majimbo ,Wilaya,mikoa, kanda, taifa na hatimaye Dunia, hiku mpango mkakati ni kuanza kufanyika katika mgazi za vijiji ifikapo mwaka 2014. Huu ni mpango wa lazima kwetu kwa mujibu wa kanuni na taratibu za mashindano haya, ambayo pamoja na malengo mengine yanalenga pia kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa sekta ya Utalii kiuchumi na kijamii,hivyo kuwa fulsa pekee ya kufanyika kwa mashindano haya katika Ngazi za vijiji lufikia mwaka huo 2014.
Mgawanyo wa kanda hizo na mikoa yake katika mabano ni:

A: KANDA ZA KAWAIDA NI:
1.      Miss Utalii Tanzania –Kanda ya Mashariki  (Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara, Zanzibar)
2.      Miss Utalii Tanzania – Kanda ya Magharibi (Simiyu, Shinyanga na Mara)
3.      Miss Utalii Tanzania – Kanda ya Ziwa (Mwanza, Geita, Kagera na Kigoma)
4.      Miss Utalii Tanzania – Kanda ya Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro na Arusha)
5.      Miss Utalii Tanzania – Kanda ya Kati  (Tabora, Dodoma, Singida na Morogoro)
6.      Miss Utalii Tanzania – Kanda ya  Kusini Nyanda za Juu  (Mbeya, Rukwa na Katavi)
7.      Miss Utalii Tanzania – Kanda ya Kusini  (Ruvuma, Iringa na Njombe)

B: KANDA MAALUM ZA VYUO VIKUU NI:
1.      Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu – Kanda ya Kati  (Dodoma, Kigoma, Tabora, Singida)
2.      Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu – Kanda ya Kusini (Iringa, Ruvuma, Njombe)
3.      Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu – Kanda ya Pwani  (Dar es Salaam, Zanzibar , Lindi na Mtwara)
4.      Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu- Kanda ya Magharibi (Mwanza, Geita, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga na Singida)  
5.      Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu – Kanda ya Kusini Nyanda za Juu  (Mbeya, Rukwa, Katavi)
6.      Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu – Kanda ya Kaskazini ( Arusha,Kilimanjaro,Manyara)
7.      Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu – Kanda ya Mashariki (Morogoro, Mtwara na Lindi)

Mgawanyo huu wa kanda umezingatia , maeneo ya kijografia, mwingiliano wa tamaduni, uwepo wa vivutio vya Utalii katika kila kanda, urahisi wa kutangaza Utalii na kuhamasisha Utalii wa ndani,pia kutoa fulsa kwa mabinti wengi zaidi kushiriki mashindano haya katika Ngazi zote.
Aidha mfumo huu, utasaidia kuwachuja washiriki katika Ngazi za kanda, hivyo kuwa na washiriki wenye viwango na ushindani unaokibalika kwa mujibu wa kanuni na taratibu za mashindano haya na mengine yahusuyo kitaifa na kimataifa.

Kwa mwaka huu, kanda ya ziwa ndiyo itakayo kuwa ya kwanza kufanya Fainali zake za Miss Utalii Kanda ya Ziwa 2012 na kushirikisha jumla ya warembo 15 kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Geita na Kigoma. Shindano hilo linalo andaliwa na Fania Hassani ambaye ni Mkurugenzi wa Miss tourism Tanzania Organisation kanda ya Ziwa na Fania Beauty Saloon ya limepangwa kufanyika Juni 30, 2012 katika ukumbi wa Monarch Hotel Mwanza na kudhaminiwa na Gold Masters, Monarch Hotel, Garrett Security Items na Solar Power MSP – H na magazeti ya Gazeti la Jambo Leo, KIU Investment.
(picha zilizo ambatanishwa na Taarifa hii ni za washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012- Kanda ya Ziwa, wakiwa wamepozi katika hoteli ya Monarch ambako kambi ya Mazoezi inaendelea, tayari kwa Fainali itakayo fanyika hotelini hapo 30-6-2012.
Asante,
By Mr. George Ntevi  - Katibu wa Bodi ya Taifa ya Mashindano ya Miss Utalii Tanzania .

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate