EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, June 6, 2012

PICHA YA MCHUMBA WA WOLPER YAWA DILI

Jamii imegeuka, sasa inataka kumwona huyo anayesemekana ni mchumba mpya wa mwigizaji Jackline Wolper ambaye anatambulika kwa jina la Dallas.
Baadhi ya wato walioongea na msaka habari wa mtandao huu walisema itakuwa vizuri kama wapekuzi wa magazeti pendwa watamuibua mchumba huyo ambaye ameonekana kubadili maisha ya supastaa huyo wa Bongo.

Wakasema mbali na kuyafanya maisha ya Wolper kubadilika lakini pia wanataka kumwona mwanaume huyo kwa sababu amefanikiwa kumwingiza msikitini staa huyo na kubadili dini kuwa muislam.

Gari la Wolper BMW X6 lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170.

“Tunajua magazeti pendwa yapo, Global tunaijua itamuibua tu huyo Dallas, kwa kusema kweli tutafurahi sana,” walisema wadau.
Kwa sasa Wolper anamiliki magari matatu likiwemo moja la thamani ya shilingi milioni mia moja na sabini za Tanzania.

1 comment:

 1. NDUGU ZANGU KATIKA UPENDO WA MUNGU,TUNA ALIKWA MARA NYINGI SANA NA MUNGU KUTUBU DHAMBI ZETU NA KUISHI MAISHA YA TOBA NA KUMGEUKIA MUNGU KATIKA KUYADHAMINI MAMBO YA MUNGU YA ROHONI KUYAPA ASILIMIA KUBWA ZAIDI KATIKA MAISHA YETU TUNAYO ISHI.

  NIYAPI YAKUFANYA NAKUZIDI KUKAZANA NAYO KATIKA MAISHA YETU NI:
  1. KUTUBU NA KUMRUDIA MUNGU KWA MATENDO MEMA , KUOMBA MSAADA WA ROHO MTAKATIFU,KATIKA KUSALI,KUOMBA NA KUWA NA BIBLIA KUSOMA NENO LA MUNGU NA KUPENDA SANA KUKAA KATIKA USHIRIKA WA WAKRISTO KANISANI KUSHIRIKI SEMINA NA MIKUTANO YA NENO LA MUNGU INAYOTANGAZWA NA KANISA,NA UMWOMBE MUNGU ROHO WAKE AKUONGOZE UEPUKA NA MAKANISA YASIYO YA KWELI YENYE MANABII WA UONGO.
  2. KUWANA UPENDO(kushika amri za Mungu kuyatunza na kuwaza Neno la Mungu Moyoni na matendo ya Huruma) WA KRISTO KWA WATU WENGINE, NAKUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAGONJWA WALEMAVU NK,NA KUPENDA AMANI NA WATU WOTE, NA HASA KUSAMEHEHANA NA KUSAIDIANA KATIKA SHIDA ZA MAISHA NA KIROHO PIA TUKUZIDI KUFANYA KAZI/MASOMO KWA BIDII TUKIMTANGULIZA MUNGU.
  3. KUPENDA SANA MOYONI KUMSIFU MUNGU NA KUMWABUDU NA KUSIKILIZA NYIMBO ZA SIFA NA KUMWABUDU MUNGU,NA MAHUBIRI
  4. KUZIDI NA KUCHUCHUMILIA MAISHA YA WONGOFU/WOKOVU KUWA NA TUMAINI LA UTUKUFU NA UZIMA WA MILELE NA KUPENDA KUOMBA.
  NK: USHIRIKA WA PAMOJA KATIKA KRISTO WA KUSALI/KUOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU/KUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU NA NENO LA MUNGU,KUWA NA HAJA/KIU NA MOYO WA KUTAKA KUMWONA YESU KRISTO KATIKA KUMTAFUTA NIMUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU HAPA DUNIANI KAMA WASAFIRI KWENDA KWA BABA YETU MBINGUNI.
  Matendo 25 -
  31 Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.
  32 Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa.
  20 bali kwanza niliwahubiri wale wa Dameski na Yerusalemu, na katika nchi yote ya Uyahudi, na watu wa Mataifa, kwamba watubu na kumwelekea Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.
  Warumi1:
  5 ambaye katika yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake;
  6 ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo;
  7 kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Mwenye haki ataishi kwa imani.
  Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
  32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
  Rum2
  4 Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu?
  5 Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu,
  6 atakayemlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake;
  7 wale ambao kwa saburi katika kutenda mema wanatafuta utukufu na heshima na kutokuharibika, watapewa uzima wa milele;8 na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, watapata hasira na ghadhabu;9 dhiki na shida juu ya kila nafsi ya mwanadamu atendaye uovu, Myahudi kwanza na Myunani pia;10 bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Myunani pia;
  11 kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.
  UJUMBE WA MUNGU KWA WALE WATAKAO MWAMINI YESU KRISTO NA KUISHI MAISHA YA TOBA YAO NA KUAMUA KUISHI MAISHA MAPYA YA WOKOVU WATASAMEHEWA NA KUWAFANYWA WANA WA MUNGU, NA ROHO MTAKATIFU ATAWASHUHUDIA KWA UWAMINIFU WAO KWA MUNGU, ATAOKOLEWA NA KUBARIKIWA SANA/ NA WALEWASIO AMINI HUKUMU YA MUNGU NA MAUTI ITAMNGOJA
  MUNGU AKUJALIA NGUVU YA KUCHAGUA KUMWELEKEA YESU KRISTO NA KUMWACHA SHETANI NA MAMBO YAKE YA STAREHE NA KILA ANASA NA MIZIKI YA KIDUNIA YENYE UOVU WA ROHO CHAFU ZA SHETANI.

  ReplyDelete

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate