Rais Jakaya Kikwete akikagua mradi wa
kufyatua matofali yanayotengenezwa kwa mashine za hydrafoam kwa ajili
ya ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari ya Mboga, wilayani
Bagamoyo, mashine hiyo yenye thamani ya shilingi millioni sabini (70m/-)
imetolewa na Rais Jakaya Kikwete kama msaada kwa vijana waliounda
ushirika ili kuboresha maisha yao kwa kufanya miradi mbalimbali ya
ujenzi na uzalishaji.
(Picha na Freddy Maro-IKULU)
No comments:
Post a Comment