Wakati kuna baadhi ya watu wanaitumia hii mitandao
ya kijamii kupiga stori na wengine kupoteza muda Ryn Ben Plus kwao ni
tofauti kabisa!
Ryn Ben Plus
Ni Kikundi binafsi cha hiari ambacho si cha kiserikali, kisiasa, kikabila, kidini wala kitaaluma. Kilianzishwa tarehe 01 Novemba 2011 kupitia marafiki waliokutana fb.

MADHUMUNI, KAZI NA WAJIBU WA KIKUNDI
Madhumuni ya Kikundi ni kuwaunganisha Wana Kikundi ili kujenga na kudumisha umoja, undugu, moyo wa upendo na ushirikiano ili waweze kusaidiana kwa hali na mali katika mambo yafuatayo:
- Kukuza mfuko wa Kikundi kupitia uwekezaji.
- Kukopa pesa kutoka kwenye mfuko wa Kikundi kwa riba nafuu kwa mwezi.
- Kutambua na kutumia fursa zilizopo katika Kikundi na jamii kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kupeana taarifa za kiuchumi, kijamii na kimaendeleo.
- Kuanzisha mfuko mdogo ambao utachangiwa na Wana Kikundi; mfuko ambao utatumika wakati muafaka tu (katika shida na raha).
- Kuandaa mazingira ya kukutana na kufurahia maisha bila ya kuathiri mfuko wa Kikundi (Social Gatherings).
- Kushauriana katika mambo mbalimbali kwa kupitia kikundi chetu katika Facebook – Ryn Ben Plus.
Idadi wanachama ni hamsini na wote niwakazi/wenyeji wa Tanzania.
Idadi kuu ya wanachama ni wakina mama hamsini.

Pamoja na muda mfupi tangu kianzishwe, Kwa Sasa Ryn Ben Plus inatoa mikopo kwa wanakikundi na watu baki kwa riba nafuu sana!
Pia Ryn Ben Plus imekuwa ikijishughulisha na kutoa semina za ujasiliamali sehemu mbalimbali nchini!
Ryn Ben Plus kuna ma mc wazuri wenye uzohefu kuendesha hafla mbalimbali, sherehe aina zote na hata misiba!

PICHA ZA RYN BEN PLUS ZA WANA RYN BEN PLUS
Picha zaidi za wana RYN BEN PLUS zio katika picha zetu ndani ya blog hapa.
PICHA ZOTE NA RYN BEN PLUS

No comments:
Post a Comment