![]() |
| Wema Sepetu akipozi kwa picha mara baada ya kukaa kabla ya kuanza kuchezwa kwa Demo ya filamu hiyo wa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro. |
![]() |
| Wageni waalikwa mbalimbali wakishuhudia uzinduzi wa filamu ya Super Star iliyochezwa na mwana dada Wema Sepetu kwenye hotli ya Hyyat Kilimanjaro |
Wanamzuiki, watangazaji pamoja na waigizaji mbalimbali wa filamu
walihudhuria katika uzinduzi huo kutoka kulia ni Charles Baba wa
Mashujaa Band, Hatman, Mtangazaji Benny Kinyaiya, Mchekeshaji Steve
Nyerere, Muigizaj Ramond Kigosi na Richie Mtambalike "Rich Rich"
wakishoo Love.

Mwanamuziki Mwinyi ambaye ndiye aliyemvisha pete ya Uchuma Wema Sepetu katika filamu hiyo alikuwepo na yeye

Mtangazaji Dina Marios kutoka Clouds Radio wa tatu kutoka kushoto na
kampani yake na wa pili kutoka kulia ni Monica wa Jose Mara.

Waigizaji mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo
Kundi la THT likifanya vitu vyake katika uzinduzi huo
Ankal Michuzi na maiwaifu wake kulia na rafiki yao wakipozi kwa picha
Kulia ni Asma Makau na Dina Marios wakiwa na marafiki zao katika uzinduzi huo.










nimependa sana alichokifanya wema amekata vilimi2 vya watu na sasa angeonyesha nyaraka za nyumba ili akate mzizi wa fitina anawezaje kufanya haya ashindwe kununua nyumba?????????????????
ReplyDelete