MWIGIZAJI mahiri wa filamu za Swahiliwood, Chuchu
Hans, amesema kuwa tangu aanze kuigiza hajawahi kuigiza sehemu ngumu
katika filamu kama aliyoigiza katika filamu ya Laura.
Alisema kuwa pamoja kuwa yeye ni binti wa Kiislamu lakini alilazimika kuingia katika jeneza akiwa kama mtu aliyefariki, anakiri kwake ilikuwa ni mtihani.

Filamu ya Laura kwangu ilikuwa mtihani kweli, maana nimeigiza mama
wa mtoto Laura na kufariki kimaigizo, unajua kwa nini ilikuwa mtihani
kwangu? Kwa sababu pia huyo mtoto Laura ni mwanangu kweli wa kumzaa,"
alisema.
"Kuna wakati nikawa nafikiria mwanangu atakuwa katika hali gani? Lakini kwa sababu ni kazi haikuwa na jinsi."
Chuchu anasema kuwa anajivunia kuigiza vizuri akiwa na mtoto wake ambaye naye anaigiza vizuri na kujikuta akiwa msanii wa kutegememewa.
Kwa sasa mtoto wake anashiriki filamu nyingi kwa kila aliyebahatika kumwona anahitaji kumtumia katika filamu yake anayoandaa, hiyo ni faraja kwa Chuchu.

No comments:
Post a Comment