"
MANCHESTER UNITED PLAYERS LOUNGE" ni sehemu ya wachezaji kupumzika
kabla ya mechi kuanza ambayo inaitwa players lounge na hakuna Mtu yeyote
anayeruhusiwa hapo wakati wa mechi hata wachumba na watoto wa wachezaji
hawaruhusiwa lounge hii wachezaji huwasili Masaa matatu Kabila ya mechi
na kupumzika hapo baada ya mechi kuisha watu wanaruhusiwa hapo lounge
Kama wake, watoto na wachumba wa wachezaji nimelezwa kuwa David Beckan
alikutuna na Victoria hapo wakati Victoria akiwa spice girls,lakini
ukitazama picks za lounge ya Manchester huwezi amini Kama ni kweli but
huo ndo ukweli nilimuliza tour guide akasema Manu hawana mambo makubwa.
Mr.Stephen Amidadab Kimaro akiwa"MANCHESTER UNITED PLAYERS LOUNGE"
Mr.Stephen Amidadab Kimaro akiwa"MANCHESTER UNITED PLAYERS LOUNGE"
Kweli Manchester United hawana mambo makubwa,very simple lounge.
CHANZO CHA HABARI NA Stephen Aminadab Kimaro From UK
IRENEJAMIIBlog tunakupongeza kwa kutuma hii habari kwetu.
No comments:
Post a Comment