George Kavishe, Meneja wa Kilimanjaro
Premium Lager ambayo ni mdhamini mkuu wa klabu ya Simba akiongea na
nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi
ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager,
George Kavishe akiongea na kocha mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet
alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya kombe la
Kagame jijini Dar es Salaam jana.
Wachezaji wa Simba SC wakimsikiliza
George Kavishe, Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager ambayo ni mdhamini
mkuu wa klabu hiyo alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa
ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager,
George Kavishe akisalimiana na kocha mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet
alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya kombe la
Kagame jijini Dar es Salaam jana.
(Picha Zote: Executive Solutions)
No comments:
Post a Comment