
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne
Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar jana kutoa pole kwa Rais, kutokana na msiba wa
ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul iliyozana juzi ikitokea
Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akipokea Salam za Rambi rambi kutoka Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, akiongoza Ujumbe wa
Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kutoa pole kwaRais,
kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu Peter Serukamba, akiwa miongoni mwa Wabunge walipofika Ikulu
Mjini Zanzibar siku ya jana kutoa pole kwa Rais, kutokana na msiba wa ajali ya
Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi ikitokea Dar es
Salam na kuelekea Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Mambo ya Nje,Ulinzi
na Usalama Cynthia Hilda Ngoya, akiwa katika Ujumbe wa Wabunge
walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais, kutokana na
msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Margareth Sitta, ambaye pia ni mmoja
kati ya Wajumbe wa bunge la Jamhuri waliofika Ikulu Mjini Zanzibar siku ya jana
kutoa pole kwa Rais.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Anne Makinda, pamoja na Ujumbe Wabunge aliofuatana nao wakati
walipofika Ikulu Mjini Zanzibar siku ya jana.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment