
Bi Hawa Ngulume enzi za uhai wake.
Bi
 Hawa Ngulume, aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Bagamoyo na 
Mbarali, amefariki dunia jijini Dar es Salaam jana asubuhi. Mama Ngulume
 ambae pia ni mama mwenye nyumba wangu amekuwa akisumbuliwa na maradhi 
ya kansa kwa kipindi kirefu na mauti yamemfika akiwa katika hospitali ya
 Lugalo jijini Dar. 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana taratibu za 
mazishi zinaandaliwa na taarifa kamili itatolewa hapo baadaye.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMINA
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment