Waziri
  Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda  
akitoka kwenye jengo la kiaskofu la Jimbo la Mpanda mara baada ya  
kusaini kitabu cha maombolezo ya kifu cha Askofu wa Jimbo la Mpanda  
Pascal Kikoti kilichotokea juzi katika Hospotari ya Rufaa ya Bugando  
Mwanza.
Askofu
  wa Jimbo la Sumbawanga Damiano Kiarusi akiwa na Makamu wa Askofu wa  
Jimbo la Mpanda Padri Patrick Kasomo mara baaa ya kuagana na Waziri Mkuu
  Mizengo Pinda alipo kuwa amekwenda kusaini kitabu cha maombolezo cha  
kifo cha Askofu Pascal Kikoti.
  Kaburi likiwa limeandaliwa tayari kwa ajiri ya mazishi ya Askofu wa  
Jimbo la Mpanda Pascal Kikoti aliyefariki hapo juzi huko Hospitari ya  
Bugando mwanza atazikwa siku ya Juma mosi katika Kanisa la Kiaskofu la  
Parokia Kuu ya Mpanda. 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment