Ripoti kutoka Libya zinaeleza kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Fawzi Abdel A'al, amejiuzulu.
Hakujatolewa sababu.Inatokea siku moja baada ya polisi katika mji
mkuu, Tripoli, kutuhumiwa kuwa hawakufanya kitu kuwazuwia Waislamu wa
msimamo mkali wasibomowe msikiti na kaburi la Wasufi mchana.
No comments:
Post a Comment