Picha ya daraja la Kigamboni la muda katika eneo hilo jana.
Makandarasi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni waliendelea na kazi ya kujenga daraja la muda katika eneo hilo jana.Ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ujenzi wa daraja kubwa litakalokuwana barabara sita Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment