Aunt ezikiel akionesha cheti cha ndoa alichotoka kusign,
Maneno ya Elcat muvie music soccer kiukwel mim sitoshangaa kuona hii ndoa ikiwai kuvunjika manake najiuliza hiv huyu anaeoa kapenda au katamani kwa mfano kapenda kwalipi? manake kila cku yy tu aunt aishi vituko#samahan lakn nakutakia maisha mazul ya ndoa yako 2lia aunt 2nakupenda sana watu wako wa kalbu — with Vicent Kigosi, Agnes Masogange Gerald, Hemedy Suleiman and 35 others.
- 6 people like this.
- Foiber Super Tulia kwenye ndoa yako mungu amekujalia heri,nkuombea kwa allah akuepushe na hasada za watu ishalaah mungu atakutia nguvu
- Benson Junior Km wote walikua tayari kwa ajili ya ndoa naiman ndoa itadumu ila co kuoa au kuolewa kwa sbb flan.hapo ni magumash.naiman auntie ni mkali kwa movie pia naiman utakua mkali kwa kuilinda ndoa yako.
- Ramso Hans Najua utakuwa umejifunza na kupitia mambo mengi na hata kuwa funzo kwa wengine hivyo utakuwa kioo kwa wengine wanao chipukia. Kila la kheri dada.
- Muksin Abeid mm naona haina haja ya kusema yote hayo maana ndoa ni jambo la kheli cha msingi 2muombee kwa mwenyezi mungu aishi vizuri na mmewe
No comments:
Post a Comment