WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA 2012 WATEMBELEA TBL.
Warembo hao hawajaanza ziara rasmi ya Kutembelea Kiwanda cha Bia Tanzania, Ilala Mchikichini, jijini Dar es Salaam siku ya jana.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro akizungumza na Warembo wa Redd's Miss Tanzania kabla Warembo hao hawajaanza ziara rasmi ya Kutembelea Kiwanda cha Bia Tanzania, Ilala Mchikichini, jijini Dar es Salaam jana. Injinia wa Masuala ya Umeme wa TBL, Elias Nyanda akiwaelezea mambo mbalimbali Warembo wa Redd's Miss Tanzania.
Mpishi wa Bia wa TBL, Godfrey Mgalula akitoa ufafanuzi kwa Warembo wa Redd's Miss Tanzania juu ya upishi wa bia mbalimbali zinazozalishwa kiwandani hapo wakati Warembo hao walipofanya ziara rasmi ya Kutembelea Kiwanda cha Bia Tanzania, Ilala Mchikichini, jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment