
MSANII Vicent KIgosi 'Ray' ameibuka kivingine katika filamu mpya ya The Shell filamu hiyo ya kutisha alioshilikisha wasanii nguli wa tansinia hiyo ipo mbioni kukamilika ambapo itakua ikisambazwa na Kampuni ya Steps Entantainement ya jijini Dar es salaam.

No comments:
Post a Comment