MAMA mzazi wa Ray C amefunguka kuhusu uvumi ulizogaa kuwa mwanae amefariki dunia.
Mapema usiku huu, zilisambaa habari kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwimbaji nyota wa kike Ray C amefariki dunia.
Akiongea
kwa njia ya simu kwenye kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM muda
mfupi uliopita, Mama wa Ray C alisema uvumi huo si wa kweli na hajui
habari hizo zimetokea wapi.
“Nakataa
kabisa, tena nakataa kwa jina la Yesu, hizo habari ni za uongo, alisema
Mama huyo na kusema mwanae anaendelea vizuri na matibabu, anakula
vizuri na anapata usingizi.Via Saluti 5
No comments:
Post a Comment