![]() |
| Kutokana na kuwa na matatizo ya kuathirika na madawa ya kulevya Ray c msanii wa bongo fleva anahitaji msaada wako ili kupata matibabu ya kuondokana na tatizo hilo |
![]() |
| kiuno bila mfupa RAY C ukweli ni kwamba amekiri makosa ya kutumia madawa ya kulevya na hivyo kwa sasa anahitaji msaada KUTOA NI MOYO |



No comments:
Post a Comment