Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba la mfano la kilimo cha zabibu la
SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji
wa matone Chamwino Mkoani Dodoma jana Novemba 15, 2012 akiwa ameongozana
na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mhe Fatma Saidi na Mbunge wa Mtera, Mhe.
Lusinde.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete waakikagua shamba la kilimo
cha Zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo
hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma jana Novemba 15,
2012. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment