EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, November 12, 2012

SAKATA LA WAGONI WALIOGANDANA.



Richard Bukos na Makongoro Oging'
LILE tukio la madai ya wanandoa kusaliti ndoa zao kwa kwenda kuzini gesti na hatimaye kugandana, bado linaendelea kuumiza vichwa vya baadhi ya Wabongo kuhusu ukweli wake, Ijumaa Wikienda lina mpya.
Bibi kizee aliyefika eneo la tukio kwa lengo la kuwanasua wapenzi walionasa
Novemba 8, mwaka huu, saa 5 asubuhi, umati wa wakazi wa Jiji la Dar ulifurika kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Temeke kushuhudia tukio hilo.
Mapaparazi wetu walifika eneo la tukio ambapo dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Margret alithibitisha kuwaona wagoni hao wakishushwa kwenye gari aina ya Canter huku wamefunikwa shuka moja jeupe.
Aidha, gazeti hili lilimshuhudia bibi kizee aliyefika eneo hilo na kusema hilo ni tego ambalo analifahamu na kuwahi kulishuhudia mara kadhaa katika mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Mchei Guest House ambapo wawili hao wanapodaiwa kunasiana.
Akilipa ushuhuda gazeti hili, bibi kizee huyo aliyekataa kutaja jina lake, alisema yeye alifika eneo la tukio lengo likiwa ni kuwanasua wawili hao lakini alisikitika akisema alinyimwa ushirikiano.
Bibi huyo aliyetokea Tanga, anayekadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 75, alisisitiza kuwa, tukio hilo ni la kweli na kusema hata waliosema wameshuhudia walishindwa kulifuatilia vizuri kwa sababu suala lenyewe lilikuwa na mazingara ndani yake.
Alisema aliyeliona mwanzo lilimpotea katika hali ya kimazingara kutokana na macho yake kutokuwa na uwezo wa kuona zaidi ya alichoanza kukiona awali.
“Hapa Dar es Salaam, dhambi ya zinaa imezidi sana. Mungu ameamua kuonesha miujiza yake,” alisema bibi huyo akiwa na dawa zake mkononi.
Margret aliyedai  kuwaona wagoni hao wakishushwa kwenye gari aina ya Canter huku wamefunikwa shuka moja jeupe.
Naye Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amani Malima alipohojiwa, alikanusha kutokea kwa tukio hilo.
Baada ya hapo, mapaparazi wetu walifika kwenye Gesti ya Mchei inakodaiwa ndiyo kulitokea tukio hilo na kuzungumza na mhudumu wa mapokezi, Masha Abdallah ambaye alikanusha tukio hilo kutokea.
Mmiliki wa gesti hiyo, Salmada Mchei naye alisema tukio hilo halijatokea na anashangaa uvumi huo umeanzishwa na nani.CHANZO NI GLOBAL PUBLISHERS.

1 comment:

  1. Haya "matukio" ni ya msimu. Ni "burdani" ya tetesi na uvumi wa jijini. Nadhani wengi wanakumbuka kuhusu mtu ambaye alikuwa nusu-mtuna nusu joka hukohuko Temeke; na lile "tukio" la ombaomba aliyeota manyoya pale Salenda Bridge, n.k. Watu wanashabikia sana "matukio" haya kutokana na kukosa kazi na kukosa burudani za aina nyingine. Ila ukimuuliza yeyote yule kama kweli aliona, jibu ni lile lile, "Nimesikia tu". Waswahili bwana!

    ReplyDelete

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate