EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, December 17, 2012

KOFFI OLOMIDE AACHA HISTORIA JIJINI MWANZA.


Koffi Olomide akiliongoza skwadi lake la madensa jukwaani, full kujiachia.
Pichani shoto ni msanii kutoka THT, Rachel akionesha umahiri wake wa kucheza lingala huku Koffi Olomide akidekshia kwa mbaali hivi, palikuwa hapatoshi watu wangu.
Mwimbaji nyota wa Koffi Olomide, Cindy nae akionesha umahiri wake wa kujimwaya mwaya jukwaa, huku mashabiki (hawapo pichani) wakipiga miluzi na mayowe.
Mwanamuziki Nyota wa kimataifa katika anga ya muziki wa dansi  kutoka nchini DR-Kongo Koffi Olomide akiwa ameambatana na mwanamuziki wake mahiri katika uimbaji aitwaye Cindy wakishukua jukwaani mara baada ya kumaliza kutumbuiza usiku huu ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba jijini Mwanza,Onesho liitwalo Tusker Carniva lilikuwa limedhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager
Koffi Olomide akiingia kwenye mchuma wake mara baada ya kumaliza onesho lake usiku huu na kufanikiwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kiasi kikubwa.
Wadau nao wakijichukulia taswira zao kwa ajili ya kumbukumbu.
Wakazi wa Mwanza walipfika kwenye uwanja wa CCM-Kirumba walijionea vilivyo kwamba Koffi Olomide na kundi lake zima la Quartie Latin bado ni moto wa kuotea mbali.
Burudani ikiendelea jukwaani.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya SBL, Ephraim Mafuru, Anitha Msangi Maurice Njowoka na Patrick Kisaka kutoka kampuni ya bia ya Serengeti wakiwa katika picha ya pamoa usiku huu ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba.
Sehemu ya wakazi wa Mwanza wakifuatilia kwa makini burudani.
Lwaaaaa....!! 
Msanii mahiri kutoka THT, Rachael kama kawaida nyonga yake laiiini inayosisimua mashabiki wake kila awapo jukwaani,na ndivyo kwa wakazi wa Mwanza walivyobaki kupiga mayowe ya shangwe usiku huu ndani ya CCM-Kirumba.
Madansa wa Koffi Olomide wakipanda jukwaani kwa staili ya kipekee kabisa tayari kuangusha bonge la burudani kwa washabiki na wapenzi wa kundi la Quartie Latin.
Cindu mwanamuziki mwenye sauti nyororo, laini na safi kabisa akiimba jukwaani kwa umahiri mkubwa huku akipambwa na madensa wa bendi hiyo ya Quartie Latin.
Cindy akiimba kwa hisia jukwaani.
Back up ya ukweli ya Koffi Olomide akiimba kwa pamoja jukwaani.
Mwanamuziki mahiri wa Koffi Olomide, Cindy akipewa maiki mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa CCM-Kirumba usiku huu tayari kwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wa kundi lao.Onesho la Tusker Carnival limeandaliwa na kampuni ya Prime Time Promotioni ikishirikiana kampuni dada ya Clouds Media Group,likidhamiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager "bia bora,marafiki wa kweli".
Mwanamuziki Koffi Olomide sambamba na mwimbaji wake nyota Cindy wakiwasili usiku huu kwenye uwanja wa CCM-Kirumba tayari kwa kuwatumbuiza wakazi wa jiji la Mwanza.
Cindy akiwaza jambo jukwaani kwa utulivu mkubwa.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate