Kipeperushi cha huduma ya SMS kichizi wakati wa
uzinduzi wa huduma hiyo itakayowawezesha wateja wa Airtel nchini kutuma
ujumbe mfupi wa sms kwa shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za
wiki
Meneja Masoko wa Airtel Rahma
Mwapachu akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuzindua huduma ya
SMS kichizi ambapo wateja wa Airtel sasa wanaweza kutuma sma kwa gharama
ya shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za wiki, katikati ni Meneja
bidhaa na masoko Francis Ndikumwami na kushoto ni Afisa Uhusiano wa
Airtel Bi Jane Matinde
Meneja bidhaa na masoko Francis
Ndikumwami akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuzindua huduma ya
SMS kichizi ambapo wateja wa Airtel sasa wanaweza kutuma ujumber mfupi
(sms) kwa gharama ya shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za wiki,
katikati ni na kushoto ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde na
kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Rahma Mwapachu.
Meneja bidhaa na masoko Francis
Ndikumwami akionyesha kipeperushi cha huduma ya SMS kichizi wakati wa
uzinduzi wa huduma hiyo itakayowawezesha wateja wa Airtel nchini kutuma
ujumbe mfupi wa sms kwa shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za
wiki, kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Rahma Mwapachu kushoto ni Afisa
Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde
No comments:
Post a Comment