Na Imelda Mtema
MSANII wa filamu Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ameonekana kuliwewesekea penzi la aliyewahi kuwa laaziz wake, marehemu Steven Kanumba baada ya kufunguka kuwa hatatokea mwanaume kama yeye.
CHANZO CHA HABARI NI GLOBAL PUBLISHERS.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko hivi karibuni, Wema alisema
amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume kadhaa lakini penzi
ambalo lilikuwa na hisia kali ni lile la kwake na Kanumba tu.
Mrembo huyo aliongeza kuwa yeye na marehemu walikuwa na matarajio mengi na anaamini angekuwa hai lazima wangekuja kuoana kwani walikuwa wakipendana kwa dhati.
“Yaani kusema ukweli hakuna ‘kapo’ nitakayoipata ifanane na ya
Kanumba mpaka naingia kaburini, tena kama angekuwa hai lazima tungekuja
kuoana, tulikuwa tukipendana ajabu,” alisema Wema.Mrembo huyo aliongeza kuwa yeye na marehemu walikuwa na matarajio mengi na anaamini angekuwa hai lazima wangekuja kuoana kwani walikuwa wakipendana kwa dhati.
CHANZO CHA HABARI NI GLOBAL PUBLISHERS.
No comments:
Post a Comment