Moussa Sissoko, alifunga mara mbili kwa ikiwa ni
mchezo wake wa kwanza kuichezea Newcastle, ambayo ilikuwa nyuma kwa
magoli mawili na kuibuka washindi kwa kuilaza Chelsea.
Mchezaji wa zamani wa Newcastle Demba Ba ambaye anachezea Chelsea alipata nafasi ya kwanza kulishambulia lango la Newcastle.Dakika chache baadaye, Jonas Gutierrez alifunga goli lakini Chelsea ilijibu mapigo kwa kufunga kupitia kwa Frank Lampard na Juan Mata.

Chelsea ikicheza na Newcastle

Wachezaji wa Chelsea
Sissoko alisawazisha katika dakika ya 68 na kufunga bao lingine na la ushindi katika dakika za majeruhi za mchezo.
Ilikuwa ni makaribisho mazuri kwa mashabiki wa
Newcastle kwa ushindi huo uliochochewa na mchezaji kiungo huyo kutoka
Ufaransa, ambaye alitia saini kuichezea Newcastle tarehe 25 mwaka huu.
Kocha wa Newcastle Alan Pardew ameelezea usajili
wake mpya wa mchezaji Demba Ba mwenye umri wa miaka 23 kuwa ni
mafanikio makubwa kwa timu yake.
No comments:
Post a Comment