EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, February 2, 2013

FLORA MVUNGI, SHILOLE WAFUNGUKA KUHUSU UGOMVI WAO

WASANII wa filamu za Kibongo, Flora Mvungi na Zuwena Mohamed ‘Shilole’  juzikati walifungukia bifu lao zito linaloonekana kukolezwa na watu ambao kimsingi bado hawajajulikana hadi sasa.Wakizungumza na ‘kachala’ wa Funguka na Risasi hivi karibuni, jijini Dar kwa nyakati tofauti, wasanii hao kila mmoja alionekana kumtuhumu mwenzake kuwa ndiye kikwazo.

Flora Mvungi
Nini walichokisema na hatima ya ugomvi wao? Fuatana nami mstari kwa mstari.
Funguka: Habari yako Flora, nimekupigia sana simu hupokei kwa nini?
Flora: Samahani nilikuwa ‘lokesheni’, nimerudi nikakuta ‘missed calls’ zako. Niambie una mpya? Maana wewe kupiga simu ni mpaka kuwe na jambo.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’
Funguka: Hujakosea, kikubwa nataka kujua hatima ya bifu lako na Shilole, limeisha?
Flora: Liishe wapi? Haliwezi kuisha mpaka aje aniombe msamaha. Yeye ndiye aliyelianzisha nikimwambia aje tuyamalize anakwepa, sijui ananitafuta nini huyu mwanamke.
Funguka: Inasemekana wewe na Flora mmewekeana bifu hilo kwa sababu ya kukuza majina yenu, ni kweli?
 
Flora: Siyo kweli, siwezi kufanya hivyo isitoshe jina langu ni kubwa katika sanaa. Hata kama ningetaka iwe hivyo, siwezi kufanya na Shilole kwani siyo saizi yangu na hana mvuto wa kufanya naye promosheni.
 
Funguka: Kwa nini mchumba wako Hamis Ramadhani ‘H.Baba’ asiwakutanishe na kulimaliza hilo bifu?
Flora: Haiwezekani kwani na yeye amemtukana hivyo siyo rahisi kutukutanisha.
Funguka: Ukiangalia chanzo cha ugomvi wenu ni nini hasa?
Flora: Swali hilo aulizwe Shilole kwani yeye ndiye aliyeanzisha.
Funguka: Sawa ngoja nimtafute.
Flora: Poa.
Funguka: Shilole habari yako.
Shilole: Salama kaka mzima?
 
Funguka: Mimi ni mzima, nimekutafuta ili kujua hatima ya bifu lako na Flora kwani wewe ndiye unadaiwa kumchafua mwenzako.
Shilole: Siwezi kukutana na Flora kwani nina mambo mengi ya kufanya na kinachonishangaza ni kwamba yeye anaenda kuongea na vyombo vya habari mambo yake ili ionekane mimi ndiyo namchafua. Siwezi kupoteza muda wangu kukaa kuongelea suala la msanii huyo kwani anasaka umaarufu kwa kutumia jina langu.
Funguka: Kwani wewe na Flora aliyetangulia kuwa na jina kubwa katika sanaa ni nani?
Shilole: Ni yeye, mimi nimekuja nyuma yake na nyota yangu ya sanaa imeng’aa na kumpita ndiyo maana sasa anahaha kusaka kurejesha jina lake kwa kutumia mgongo wangu. Mimi niko juu yake kwani Mungu amenifanikisha kufika hapa nilipo.
Itaendelea wiki ijayo. Chanzo cha habari hii na
Stori: George Kayala-Global Publishers

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate