Hii tweet ya CCM hii, lakini si umeielewa? eti, si umeielewa tu?
Mimi
si mtaalamu wa lugha nakiri mapema kabisa. Ila pamoja na hayo yote, ndugu
zangu wa CCM, huyu mliyempa kazi ya kuratibu taarifa zenu kwenye
akaunti ya Twitter ni vyema mkamfahamisha aendelee tu kutumia lugha yetu
ya Kiswahili.
No comments:
Post a Comment