UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York
nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani
huwaondolea msongo wa mawazo.

Hali hii wamesema wataalam hao kuwa inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na huwa na angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo (anti-depressants).
Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293
kwa kufuatilia maisha yao ya kujamiana dhidi ya afya za akili zao. Manii
huwa na mchanganyiko wa kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza
upendo, kemikali aina ya esterone na oxytocin ambazo zote humfanya mtu
kuwa vizuri kihisia.
Pia, huwa na homoni aina za ‘thyrotropin releasing
hormone’, ambayo huondoa msongo wa mawazo, melatonin ambayo huchochea
usingizi na serotonin ambayo ni homoni inayoondoa msongo wa mawazo.
Kutokana kuwapo kwa mchanganyiko wa kemikali na homoni hizo kwenye manii
Matokeo ya utafiti
Matokeo muhimu ya utafiti huu ambao umechapishwa
katika jarida la ‘Archives of Sexual Behaviour’ ni kwamba hata baada ya
baadhi ya watafitiwa kuongeza kiwango chao cha kujamiana, wale ambao
walikuwa hawatumii kinga yoyote walikuwa na kiwango kidogo cha msongo wa
mawazo tofauti na wale ambao walikuwa wakitumia kinga kama kondomu
wakati wa kujamiana.
Pia, wanawake hawa ambao hawakutumia kinga walikuwa na kiwango kidogo
cha msongo wa mawazo tofauti na wale ambao hawakushiriki tendo la ndoa
kabisa.
No comments:
Post a Comment