EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Friday, March 8, 2013

Raila Odinga agomea matokeo

HALI imeanza kuwa tete nchini Kenya baada ya Chama cha Muungano wa Cord kinachoongozwa na Raila Odinga kutaka shughuli ya kuhesabu kura za urais kusitishwa mara moja na kimetishia kwenda mahakamani kusitisha mpango huo.
 
Wakati hali ikiwa hivyo, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), imeendelea kutoa matokeo ya mwisho ya kura hizo kwa majimbo huku ikipanga kutangaza matokeo kamili ya uchaguzi wa rais leo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mgombea Mwenza wa Raila, Kalonzo Musyoka alisema Cord ina wasiwasi kwamba kumekuwa na ukiukwaji wa taratibu na amesema kuna hisia za hujuma katika mchakato wa kuhesabu kura unaoendelea.

Musyoka alisema Cord inataka shughuli hiyo ya kuhesabu kura za urais isitishwe mara moja na kuanzishwa upya kwa kutumia stakabadhi kutoka kwa makarani wa kura jambo ambalo imeelezwa kwamba ndilo linalofanyika kwa sasa.

Alisema pia kuwa muungano huo una tashwishi kuhusu baadhi ya matokeo akisema si ya kweli kwa kuwa hayawiani na yale ambayo mawakala wao waliyowasilisha.
Alisema baadhi ya matokeo yako juu kuliko idadi ya wapiga kura katika baadhi ya maeneo ambako kura zilipigwa.

Alisisitiza kuwa tatizo hilo limetokana na kugoma kwa mitambo ya kupiga kura na pia kuanza upya kwa shughuli ya kuhesabu kura kwa kutumia mfumo wa zamani.

Musyoka alisema Tume ya Uchaguzi inastahili kutumia mitambo ya elektroniki kuhesabu kura kama inavyoagiza katiba ya nchi, huku akisisitiza kuwa muungano huo ungali unatafakari hatua za kuchukua ikiwamo kufuata sheria.
Hali ya taharuki imeanza kutanda katika maeneo mbalimbali ya Kenya baada ya IEBC kuendelea kuyakalia matokeo ya urais ikiwa ni zaidi ya saa 48 tangu Wakenya walipopiga kura.

Shughuli hiyo imekumbwa na utata hasa baada ya mitambo ya kuhesabia kura ya Tume ya Uchaguzi kukumbwa na hitilafu.

Hatua hiyo imeilazimu tume hiyo kuanza kuhesabu kura upya katika kituo cha kupokea matokeo ya kura za urais kwenye Ukumbi wa Bomas, Nairobi.

Uhuru aendelea kuongoza
Mgombea wa urais kupitia Muungano Jubilee, Uhuru Kenyatta hadi kufikia saa 11:00 jioni jana, alikuwa anaongoza kwa kura 2,660,379 huku mpinzani wake, Raila akimfuatiwa kwa kura 1,996, 181.

IEBC ilisitisha utumiaji wa mitambo ya kielektroniki kuhesabu kura kutokana na hitilafu na kusababisha zoezi hilo kubadilika na kura kuhesabiwa kwa njia ya kawaida.
Ingawa utaratibu wa kuhesabu ulikuwa unakwenda kwa mwendo wa kinyonga, bado Kenyatta alikuwa mbele.

Katika hatua nyingine, wanasiasa wa vyama vya Jubilee na Cord, walifukuzwa katika kituo cha kutangaza matokeo cha Bomas baada ya kutaka kuingilia kazi ya Tume ya Uchaguzi.
 Wanasiasa hao walianza kupiga kelele wakitaka matokeo ya jumla yatangazwe jambo lililowafanya viongozi wa IEBC, kuwafukuza katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate