EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Sunday, April 28, 2013

MAMBO 10 YANAYOSABABISHA MWANAMKE KUSALITI.

Usaliti ni kitu kibaya sana. Ni matokeo ya ukosefu wa ubinadamu. Ni kwenda nje ya makubaliano ya kimsingi. Ni uamuzi wa mtu kushusha thamani yake mwenyewe. Ni kujidhalilisha kwa makusudi. Ni kujionesha mbele ya umma kwamba wewe hufai, huaminiki.
Aya hiyo, ikupe mantiki kuwa msaliti siyo binadamu. Sasa basi, endapo utaamua kufanya hivyo, ujijue kwamba unajidhalilisha na unajipa sifa mbaya mbele ya jamii. Kwamba unajipeleka kwenye ukurasa ambao kila atakayekusoma, atakutafsiri kuwa hufai, kwani huna maana.
Kwa nini watu wanasaliti? Hapa nieleze kuwa usaliti ambao naujengea hoja siyo ule wa kuchukua maneno upande mmoja na kupeleka sehemu nyingine, la hasha! Namaanisha vitendo vya kumchepuka mwenzi wako. Yaani unakwenda kufanya mapenzi nje ya ndoa au kuhusika na mtu tofauti na mchumba au mpenzi wako anayekubalika.
Usaliti unasababishwa na vitu vingi lakini kikubwa ni tamaa. Inawezekana ikasababishwa na hulka ya kutaka kuwa na wengi au kuvutwa na fahari ya macho. Umemuona, akakuvutia kisha ukataka uone ndani pakoje. Huu ni ulemavu mkubwa sana unaotawala vichwa vya wengi.
Fedha ni janga kuu. Wanawake kwa wanaume wanaendeshwa na pesa, hivyo imekuwa ikiamua hatma ya uhusiano wa watu wengi. Nilishawahi kuandika kuwa “fedha ni dereva wa moyo”, kwamba mapenzi kwa sehemu kubwa yanaamuliwa na fedha. Kama huna kitu, utasalitiwa tu!
Tuachane na kipengele cha fedha na tamaa, kwa upande wa wanawake, zipo sababu mbalimbali ambazo huwafanya wachepuke ama nje ya ndoa au ‘kuchutama’ kwa mwanaume wa pembeni tofauti na boyfriend/mchumba wake. Sababu zao zipo kisaikolojia zaidi.
Ni muhimu kwa kila mtu kutambua haya kwa sababu kuu mbili; Mwanaume kujua namna ya kuishi vizuri na mwenzi wake ili ajue nyakati za hatari za kusalitiwa. Pili, mwanamke kujichunga, kuvaa uimara wakati wowote na kuepuka ushawishi wa kusaliti. Kuna ushauri muhimu sana ndani ya makala haya.
Pamoja na sababu nitakazozieleza ambazo nyingine zinaonesha kuwapendelea wanawake kwamba wakati mwingine husaliti kutokana na tabia za wenzi wao, ila ukweli ubaki kwenye kipimo chake kuwa msaliti yeyote anakuwa amejiondoa kwenye taswira halisi ya ubinadamu na kujifananisha na mnayama.
Kitendo cha kuvua nguo mbele ya mwanaume huyu, kesho eti kwa sababu umekosewa ndiyo ukafanya hivyohivyo kwa mwingine, ni sawa na kujifananisha na wanyama. Pointi hapa ni kuwa unajifananisha na wanyama kwa sababu wao huwa hawavai nguo. Ni kama wewe tu unayevuavua ovyo na kuruhusu wanaume tofautitofauti wakuone.
Wanyama huwa hawafanyi makubaliano ya kueleweka, isipokuwa hupandana kiholelaholela. Nawe kwa sababu maisha yako hayapo kwenye mtiririko unaokubalika, unaamua kufanya kama wanyama. Leo unatumika kwa huyu, keshokutwa upo na mwingine. Inawezekana unafurahia maisha hayo lakini siyo sawa kabisa. Hizo ulizonazo ni hulka za wanyama.
Kuhusu sababu ambazo huwafanya wanawake kuamua kuziendea kinyume ndoa au uhusiano wao wa kimapenzi na kufanya usaliti, soma sababu 10 zinazofuata. Ukisoma kinagaubaga, utaelewa wapi pa kushika na nini cha kufanya. Ni mapenzi tu na mapito yake.

HISIA ZA KIPINDI CHA MPITO
Hiki ni kipindi cha hatari sana kwa mwanamke. Kinaweza kutokana na sababu mbalimbali ila muhimu kwa mwanaume wake ni kuwa makini sana.

Itaendelea wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate