
Msanii nyota wa tasnia ya filamu Bongo, Jack Wolper
Nimejipanga kufanya kazi ya kuandika historia na bado wapenzi wa filamu waamini kuwa kweli mimi ni bora nisiyebahatisha katika sanaa," alisema.
"Hilo unaweza kuliona katika filamu ya Mahaba Niue ya Rado nilivyofanya kweli mwanzo mwisho, ninaigiza na kutayarisha filamu zangu pia."
Filamu ya Mahaba Niue imeandaliwa na mwigizaji wa filamu Rado na kuwashirikisha wasanii kama Mboto, Wolper, Rado pamoja na mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kwa sasa H.
No comments:
Post a Comment