Lakin hata hivyo ni mara kadhaa sasa wezi
wanakamtwa lakini walikuwa wakipelekwa polisi wanaachiwa bila kujua
kesi zimekwendaje! "Kama hawa walishawahi kukamatwa huku huku folk land
lakin walipelekwa polisi hatimae wakaachiwa.
Na tangu mwezi huu wa nne
uanze sasa ni mara ya 4 mfululizo matukio ya wizi na ujambazi wa
kutumia mapanga yametawala! Tunaishi bila ya amani kabisa" alisema mama
Hawa mkazi wa Folkaland
Katika picha juu amefahamika kwa jina la peter Majanga. Ni mkazi wa Kiwalani mpakani
na relini. Ameuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa
akikata dirisha ili aibe! Kijana huyo alikuwa na kibegi chenye waya
ambazo pia wanazotumia kukaba watu! Tukio limetokea maeneo ya Yombo
Vituka Folkaland asubuhi ya leo!.
HafidhiKatila picha ya juu alifahamika kwa jina moja tu la Hafidhi nae alikuwa na style ya peke yake alivua nguo zote akijaribu kujinasua aonekane kama kichaa na pia alikuwa amejipaka mafuta ambayo ukimshika anateleza ndio ilikuwa style yake ya kutaka kukimbia.
Huyo alifahamika kwa jina moja tu la Hafidhi nae alikuwa na style ya
peke yake alivua nguo zote akijaribu kujinasua aonekane kama kichaa na
pia alikuwa amejipaka mafuta ambayo ukimshika anateleza ndio ilikuwa
style yake ya kutaka kukimbia.
Amefahamika kwa jina la peter Majanga.Amefahamika kwa jina la peter Majanga.
Amefahamika kwa jina la peter Majanga.
No comments:
Post a Comment