Siku moja
baada ya Liverpool kumuondoa Luis Suarez kama mazoezi ya kikosi cha
kwanza na kumlazimisha kufanya mazoezi pekee yake, leo hii Wayne Rooney
nae amefanyiwa kitendo hicho hicho na kocha wake wa Manchester United
David Moyes kwa kumpeleka mshambuliaji huyo anayetaka kuondoka kufanya
mazoezi na kikosi cha pili cha timu ya mabingwa wa England.
Rooney alikuwa ndio mchezaji pekee wa kikosi cha kwanza kilichokuwa kikifanya mazoezi na wachezaji wa ziada katika uwanja wa mazoezi Carrington, in a session chini ya usimamizi wa makocha Warren Joyce na Nicky Butt.

No comments:
Post a Comment