Meneja
Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji
mshindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw.
Khalid Shabani katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini
Dar es Salaam.
Washindi
wa droo ya tatu ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ wakipozi mbele ya Bajaji
zao walizokabidhiwa na kampuni ya simu ya Tigo katika hafla
iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
Mshindi
wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Sande Juma (kushoto)
akipokea ufunguo wake wa Bajaji kwa furaha kutoka kwa Meneja Chapa wa
Tigo Bw. William Mpinga katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta
jijini Dar es Salaam.
Washindi
wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ (kutoka
kushoto) Bw. Sande Juma, Tito Mkude na Iddi Zonki wakikagua Bajaji
walizokabidhiwa kutoka kwa kampuni hiyo ya simu katika hafla
iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.


No comments:
Post a Comment